Search

774 results for Waandishi Wetu :

  1. Slot kutembelea nyota ya ya Klopp Liverpool

    Jurgen Klopp amemtengenezea mazingira mrithi wake anayetajwa kuwa ni Arne Slot kwa kuwataka mashabiki kumwamini na kumpa muda ili aonyesha maajabu yake Anfield.

  2. Singida FG, Dodoma vita ya kukwepa playoff, Ngawina asaka ushindi wa kwanza

    KESHO Singida Fountain Gate itaialika Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini hapa kuanzia saa 10:00 jioni, huku timu hizo zikipambana kumaliza katika...

  3. Jangwani kumekucha, Wazee, Mashabiki wakoleza mzuka 'Kariakoo Derby'

    maarufu wa klabu hiyo anayejulikana kama 'Mzee wa Utopolo', amesema lengo la kukusanyika klabuni hapo ni kuanza safari kwenda Kigamboni ilipo kambi ya timu hiyo. "Vaibu letu...

  4. Mechi inayofuata baada ya kipigo Dabi

    Aprili 20, 2024, watani wa jadi wa soka la Tanzania, Yanga na Simba, watakutana katika muendelezo wa ligi kuu kwa msimu wa 2023/24.

  5. Hesabu zaibeba Yanga Kirumba

    Kivumbi cha Ligi Kuu Bara kinaendelea leo kwa kupigwa michezo miwili iliyobeba taswira ya mbio za ubingwa kwa msimu huu, baada ya jioni ya jana Simba kumalizana na Ihefu mjini Singida.

  6. Gamondi: Aucho bado, atamba kubeba makombe

    Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mazoezi ya mwisho leo jijini Mwanza yataamua hatma ya kiungo, Khalid Aucho kama atatumika katika mchezo wa kesho ama la licha ya kucheza kwa dakika chache m...

  7. PRIME Tatizo Simba liko hapa

    Simba imeondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali kwa mara ya nne na mara moja katika Kombe la Shirikisho Afrika ndani ya miaka sita mfululizo.

  8. PRIME Ripoti ya Benchikha yavuta watano wapya Simba

    SIMBA imeharibu rekodi flani iliyokuwa nayo kimataifa baada ya kupasuka nje ndani mbele ya Al Ahly ya Misri, jambo ambalo ni kama limempa hasira kocha wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha ambaye...

  9. Nenda Kuka fundi wa mpira

    MWANDISHI WETU WIKI moja tu tangu familia ya michezo hususan soka kupata pigo baada ya beki wa zamani wa kimataifa aliyewika Simba na Yanga, Ramadhani Wasso kufariki dunia akiwa kwao...

  10. Anavyopatikana bingwa wa gofu kwa klabu

    YANAPOFANYIKA mashindano ya gofu ya klabu, kisheria kila klabu inatakiwa kutoa wachezaji wanane, kisha watakuwa wanacheza wawili wawili, pointi zitakazopatikana zinatoa ubingwa. Kila klabu...

Page 1 of 78

Next